Yohana 21:17 "Yesu akamwambia,"Lisha kondoo zangu"

Huduma Yetu

Huduma ya Mana inaandaa na kufundisha baadhi ya mafundisho ya Neno la Mungu kwa Njia Mbalimbali

Mafundisho

Fuatilia mafundisho mbalimbali kupitia tovuti hii kila siku live, au kila wiki kufuatana na mifululizo tofauti tofauti totakayo kuwa tunaweka kwenye huu ukurasa wetu ili yakusaidie…

Soma Zaidi

Kongamano la Maombi

Maono ya Kongamano la Maombi "Kuona jamii ya kitanzania iliyojengwa katika misingi na mifumo ya ufalme wa mbinguni kwa njia ya maombi". Sawa na: Mathayo 4:17 na Mathayo 6: 9, 10. Mwaka…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi

Fuatilia barua za kila mwanzo wa mwezi ili upate neno la Mungu na msingi wa kukuongoza katika maombi kwa mwezi husika. Utaweza kufuatilia barua hizo mbali mbali hata za miezi na miaka…

Soma Zaidi

Israel Pamoja Nasi

Mwaka 2007 mwezi wa Desemba, tukiwa nchini Israel, Mungu alisema nasi juu ya kuwahimiza watu wake wajiunganishe na nchi ya Israel Kibiblia. Na kwa kufanya hivyo…

Soma Zaidi

Unataka Kuokoka?

Inawezekana kabisa ya kuwa wewe unayesoma ujumbe huu hujaokoka - yaani hujampokea Yesu Kristo ndani ya moyo wako kama Bwana na Mwokozi wako. Lakini sasa umeona…

Soma Zaidi

Vipindi vya Redio

Karibu kufuatilia vipindi vya redio kupitia redio mbali mbali kwenye nchi hii, kama ifuatavyo, kila siku ya jumamosi na jumapili kuanzia saa tatu usiku hadi…

Soma Zaidi

Mahubiri ya Video

Mungu anasema nasi kwa njia mbalimbali.mojawapo ya njia ambayo Mungu huitumia kusema nasi ni njia ya mtumishi wetu Mwl. Christopher Mwakasege na watumishi wengine,…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi July 2016

Bwana Yesu asifiwe sana! Tunakuandikia barua hii tukiwa mjini Singida, ambapo leo tunaanza semina ya Siku tano. Mwezi huu wa Julai tumeanza semina ya siku 8 mjini Mwanza. Tulikuwa tunajifunza somo linalohusu… "Soma"

Picha na Video ya Matukio Mbalimbali

Ratiba ya Semina Zetu

 • Dec09-19

  Kuanzia Saa 04:26 PM – Mpaka Saa 04:26 PM

  Safari ya Kwenda Israeli, kwa ajili ya kujifunza na Mapumziko

  Israeli
  Sunday - Wednesday
 • Nov30-01

  Kuanzia Saa 02:00 PM – Mpaka Saa 06:00 PM

  Semina ya Vijana itakayofanyika Dar es salaam

  Uwanja wa Tanganyika Perkas Kawe
  Friday - Saturday
Ratiba Kamili Bofya Hapa

NUNUA

Unaweza kujipatia mafundisho mbali mbali yanafundishwa katika semina zetu sehemu mbalimbali hapa nchini kwa njia ya DVD, Audio CD, VHS, Kanda za Redio Kassete pamaoja na vitabu mbalimbali vya masomo yatakayokusaidia katika maisha yako ya Kikristo..