HUDUMA ZA MANA

Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote.

Fahamu zaidi...
 
   
 


    Vipindi vya Redio

Ili kulileta Neno la Mungu karibu na wewe zaidi, Huduma ya Mana inaandaa na kurusha baadhi ya mafundisho ya Neno la Mungu kwa njia ya redio kadhaa hapa nchini Tanzania.

Ili kufahamu zaidi redio hizo na siku na saa ya vipindi vyetu, bonyeza hapa.

   
Sasa unaweza kujipatia mafundisho mbali mbali yanafundishwa katika semina zetu sehemu mbalimbali hapa nchini kwa njia ya DVD, Audio CD, VHS, Kanda za redio Kassete pamaoja na vitabu mbalimbali vya masomo yatakayokusaidia katika maisha yako ya Kikristo. Kama uko mkoa wa Arusha unaweza kupata mafundisho haya pamoja na vitabu unaweza kufika ofisini kwetu kwa kutumia barabara ya uhuru karibu na ofisi za tanesco Arusha ulizia ofisi za Huduma ya MANA.

Pia kama uko mkoa wa Dar es Salaam unaweza kwenda ofisini kwetu mtaa wa Posta Ofisi zetu zinapatikana Jengo la Luther House Ghorofa ya tatu,uliza ofisi za MANA.

Kwa wale walioko mkoa wa Kilmanjaro, unaweza kupata mafundisho pamoja na vitabu dukani kwa mama Kimambo.
 


    Changia Huduma

Karibu ushirikiane nasi katika kuchangia gharama za uendeshaji wa semina na Huduma nyingine tunazofanya maeneo mbalimbali. Tafadhali bonyeza hapa ili kufahamu jinsi ya kuchangia.


Tazama/Sikiliza Mahubiri

Sasa unaweza kusikiliza mafundisho ya Neno la Mungu moja kwa moja kupitia redio pamoja na internet. Ili kusikiliza mafundisho bonyeza hapa.


Mitandao ya Kijamii
 


Fahamu zaidi

 
 

Ibariki Israeli Pamoja Nasi

Habari za Huduma

Mafundisho ya neno la Mungu

  Sasa unaweza kutembelea taifa la Israeli kwa mafunzo ya kiroho pamoja nasi mara nne kwa mwaka. Kufahamu zaidi kuhusu huduma ya Israeli,
Bonyeza Hapa.
  Karibu ufuatilie habari ,matukio na mabadiliko mbalimbali  yanayohusu huduma ya MANA pamoja na watendajikazi katika huduma. Bonyeza Hapa kwa maelezo zaidi   Karibu ujisomee mafundisho ya Neno la Mungu katika tovuti hii sasa.
Bonyeza hapa
 
|Home|  |Kuhusu MANA|    |Nunua|      |Mafundisho|     |Maombi|     |Ratiba|   |Shuhuda|   |Barua Za Mwezi|   |Israel|Picha

Haki zote zimehifadhiwa Huduma Ya MANA TANZANIA.