HUDUMA ZA MANA

Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote.

Fahamu zaidi...
 
 


    Vipindi vya Redio

Ili kulileta Neno la Mungu karibu na wewe zaidi, Huduma ya Mana inaandaa na kurusha baadhi ya mafundisho ya Neno la Mungu kwa njia ya redio kadhaa hapa nchini Tanzania.

Ili kufahamu zaidi redio hizo na siku na saa ya vipindi vyetu, bonyeza hapa.

   

RATIBA YA SEMINA ZETU -2018

   


    Changia Huduma

Karibu ushirikiane nasi katika kuchangia gharama za uendeshaji wa semina na Huduma nyingine tunazofanya maeneo mbalimbali. Tafadhali bonyeza hapa ili kufahamu jinsi ya kuchangia.

 

TAREHE

MAHALI

TUKIO/WAHUSIKA


12- 13 Januari 2018


DODOMA

WALIOCHAGULIWA NA MIKOA HUSIKA


29 Januari - 04 Februari 2018

Moshi Mjini
Uwanja wa Majengo
Kila siku kuanzia saa 9 alasiri hadi 12 na nusu jioni


Semina
:
Watu wote


Tazama/Sikiliza Mahubiri


18 - 25 Februari 2018

Arusha Mjini
Uwanja wa Reli
Kuanzia saa 9 alasiri hadi saa 12 jioni

Semina: Watu  wote

Sasa unaweza kusikiliza mafundisho ya Neno la Mungu moja kwa moja kupitia redio pamoja na internet. Ili kusikiliza mafundisho bonyeza hapa.

Mitandao ya Kijamii

19 - 20 Februari 2018 (Asb)

Arusha Mjini
Ukumbi wa Corridor Springs Hotel

Maombi:
Waombaji


4 - 11 March 2018

Dar es salaam:
Uwanja wa Tanganyika Perkas Kawe.Kuanzia saa 9 alasiri hadi saa 12 jioni

Semina:
Watu Wote
       


Fahamu zaidi


5 - 6 Machi 2018 (Asb)

DAR ES SALAAM:
Ukumbi wa Kanisa la KKKT Mbezi beach.

Maombi:
Waombaji
 

25 March 2018

Mwanza:
KKKT Usharika wa Imani

Semina:
Watu wote
 
 


7 - 17 April 2018

Israeli:
Safari ya Kimafunzo

AKINA MAMA WATAKAOJIANDIKISHA.
 

                                               
                                                 ENDELEA KUSOMA >>>

Ibariki Israeli Pamoja Nasi

Habari za Huduma

Mafundisho ya neno la Mungu

Sasa unaweza kutembelea taifa la Israeli kwa mafunzo ya kiroho pamoja nasi mara nne kwa mwaka. Kufahamu zaidi kuhusu huduma ya Israeli,
Bonyeza Hapa.
Karibu ufuatilie habari ,matukio na mabadiliko mbalimbali  yanayohusu huduma ya MANA pamoja na watendajikazi katika huduma.
Bonyeza Hapa kwa maelezo zaidi
Karibu ujisomee mafundisho ya Neno la Mungu katika tovuti hii sasa.
Bonyeza hapa
 
|Home|  |Kuhusu MANA|    |Nunua|      |Mafundisho|     |Maombi|     |Ratiba|   |Shuhuda|   |Barua Za Mwezi|   |Israel| Picha

Haki zote zimehifadhiwa Huduma Ya MANA TANZANIA.