HUDUMA ZA MANA

 
  Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote.

Fahamu zaidi...
 
 


    Vipindi vya Redio

Ili kulileta Neno la Mungu karibu na wewe zaidi, Huduma ya Mana inaandaa na kurusha baadhi ya mafundisho ya Neno la Mungu kwa njia ya redio kadhaa hapa nchini Tanzania.

Ili kufahamu zaidi redio hizo na siku na saa ya vipindi vyetu, bonyeza hapa.

   

RATIBA YA SEMINA ZETU -2015

   


    Changia Huduma

Karibu ushirikiane nasi katika kuchangia gharama za uendeshaji wa semina na Huduma nyingine tunazofanya maeneo mbalimbali. Tafadhali bonyeza hapa ili kufahamu jinsi ya kuchangia.

 

TAREHE

MAHALI/MUDA

TUKIO/WAHUSIKA4 -11 Jan, 2015

Arusha Mjini:
Uwanja wa Reli. Kila
Kuanzia saa 9 mchana hadi saa  12 Jioni


Semina:
Watu wote.
 


18 Januari 2015

Dar es salaam:
Ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuanzia saa 8
mchana hadi saa 12 Jioni


Kupanda na Kuvuna:
Watu wote.


Tazama/Sikiliza Mahubiri

Sasa unaweza kusikiliza mafundisho ya Neno la Mungu moja kwa moja kupitia redio pamoja na internet. Ili kusikiliza mafundisho bonyeza hapa.

     


20 - 25 Jan 2015

Moshi Mjini:
Uwanja wa Mashujaa
Kila siku Kuanzia saa 9 alasiri hadi saa 12 jioni.


Semina
:

Watu wote

Mitandao ya Kijamii


16 -22 Feb 2015

Tanga Mjini:
Uwanja wa Tangamano. Kila Siku kuanzia saa 9 mchana hadi saa 12 jioni.


S
emina:
Watu Wote


Fahamu zaidi


01 - 08 March 2015

Dar es salaam:
Uwanja wa Jangwani, Kila siku kuanzia saa 9 mchana hadi saa 12 jioni.

Semina:
Watu wote
 


12 - 19 April 2015

Dodoma Mjini:
Uwanja wa Barafu. Kila siku kuanzia saa 9 mchana hadi saa 12 jioni.


Semina:
Watu wote

 
 


14 Mei 2015

ARUSHA:
Siku ya kukumbuka na kusherekea uhuru wa Taifa la Israeli.


   
     Walioalikwa tu.
 
               

Endelea kusoma >>

Ibariki Israeli Pamoja Nasi

Habari za Huduma

Mafundisho ya neno la Mungu

Sasa unaweza kutembelea taifa la Israeli kwa mafunzo ya kiroho pamoja nasi mara nne kwa mwaka. Kufahamu zaidi kuhusu huduma ya Israeli,
Bonyeza Hapa.
  Karibu ufuatilie habari ,matukio na mabadiliko mbalimbali  yanayohusu huduma ya MANA pamoja na watendajikazi katika huduma.
Bonyeza Hapa kwa maelezo zaidi
Karibu ujisomee mafundisho ya Neno la Mungu katika tovuti hii sasa.
Bonyeza hapa
 
|Home|  |Kuhusu MANA|    |Nunua|      |Mafundisho|     |Maombi|     |Ratiba|   |Shuhuda|   |Barua Za Mwezi|   |Israel| Picha

Haki zote zimehifadhiwa Huduma Ya MANA TANZANIA.