HUDUMA ZA MANA

 
  Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote.

Fahamu zaidi...
 
 


    Vipindi vya Redio

Ili kulileta Neno la Mungu karibu na wewe zaidi, Huduma ya Mana inaandaa na kurusha baadhi ya mafundisho ya Neno la Mungu kwa njia ya redio kadhaa hapa nchini Tanzania.

Ili kufahamu zaidi redio hizo na siku na saa ya vipindi vyetu, bonyeza hapa.

   

RATIBA ZA SEMINA ZETU -2016

   


    Changia Huduma

Karibu ushirikiane nasi katika kuchangia gharama za uendeshaji wa semina na Huduma nyingine tunazofanya maeneo mbalimbali. Tafadhali bonyeza hapa ili kufahamu jinsi ya kuchangia.

 


TAREHE


MAHALI/MUDA


TUKIO/WAHUSIKA


17, Januari 2016

Dar es Salaam:
Semina ya kupanda na kuvuna, Ukumbi wa Diamond Jubilee, saa 9 alasiri -12 jioni


Semina: Watu wote
 


24 - 31, Januari 2016

Arusha mjini:
Uwanja wa Reli, Kila siku saa 9 alasiri hadi saa 12 jioni.


Semina:
Watu wote


Tazama/Sikiliza Mahubiri

Sasa unaweza kusikiliza mafundisho ya Neno la Mungu moja kwa moja kupitia redio pamoja na internet. Ili kusikiliza mafundisho bonyeza hapa.

     


16 - 21, Februari 2016

Moshi Mjini:
Uwanja wa Mpira Majengo, Kila siku saa 9 alasiri hadi saa 12 jioni.


Semina:
Watu wote

Mitandao ya Kijamii


6 - 13 March 2016

Dar es salaam:
Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UD), Kila siku saa 9 alasiri hadi 12 jioni


Semina:
Watu wote


Fahamu zaidi


16 - 17 March 2016

Tanga:
 

Kongamano la Maombi, waombaji wote waliojiandikisha
 


10 - 19 April 2016

Israeli:
Safari ya kimafunzo na Maombi kwa kina mama

 Kina mama waliojiandikisha

 
 


06 - 08, Mei 2016
 

Dallas - Texas - USA:
 


Semina:
Watu wote

 
         

                             Endelea   >>     

Ibariki Israeli Pamoja Nasi

Habari za Huduma

Mafundisho ya neno la Mungu

Sasa unaweza kutembelea taifa la Israeli kwa mafunzo ya kiroho pamoja nasi mara nne kwa mwaka. Kufahamu zaidi kuhusu huduma ya Israeli,
Bonyeza Hapa.
  Karibu ufuatilie habari ,matukio na mabadiliko mbalimbali  yanayohusu huduma ya MANA pamoja na watendajikazi katika huduma.
Bonyeza Hapa kwa maelezo zaidi
Karibu ujisomee mafundisho ya Neno la Mungu katika tovuti hii sasa.
Bonyeza hapa
 
|Home|  |Kuhusu MANA|    |Nunua|      |Mafundisho|     |Maombi|     |Ratiba|   |Shuhuda|   |Barua Za Mwezi|   |Israel| Picha

Haki zote zimehifadhiwa Huduma Ya MANA TANZANIA.