HUDUMA ZA MANA

Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote.

Fahamu zaidi...
 
 


    Vipindi vya Redio

Ili kulileta Neno la Mungu karibu na wewe zaidi, Huduma ya Mana inaandaa na kurusha baadhi ya mafundisho ya Neno la Mungu kwa njia ya redio kadhaa hapa nchini Tanzania.

Ili kufahamu zaidi redio hizo na siku na saa ya vipindi vyetu, bonyeza hapa.

   

RATIBA YA SEMINA  -2014

   


    Changia Huduma

Karibu ushirikiane nasi katika kuchangia gharama za uendeshaji wa semina na Huduma nyingine tunazofanya maeneo mbalimbali. Tafadhali bonyeza hapa ili kufahamu jinsi ya kuchangia.

 

TAREHE

MAHALI NA MUDA.

WAHUSIKA/TUKIO4 - 5 Jan, 2014

Arusha.
Uwanja wa Sheikh, Amri Abeid (Stadium).
Kuanzia saa 9 hadi saa 12 jioni.


Watu wote. Semina ya
Kufungua mwaka


9 - 10 Jan 2014

Morogoro.
 

Semina: Wachungaji na Maaskofu.


Tazama/Sikiliza Mahubiri

Sasa unaweza kusikiliza mafundisho ya Neno la Mungu moja kwa moja kupitia redio pamoja na internet. Ili kusikiliza mafundisho bonyeza hapa.


12 Jan 2014

Dar es salaam 
Ukumbi wa Diamond Jubilee
Kuanzia saa 8 mchana hadi saa  12 Jioni

Watu wote: Semina ya
Kufungua Mwaka.

Mitandao ya Kijamii


20 -22 Jan 2014

ARUSHA:
 

Semina:
Wachungaji wa Kanisa la Moravian.


Fahamu zaidi


25 Jan 2014

Live Tele-Seminar.Saa 11 jioni saa za Afrika Mashariki Semina: Watakaopiga simu


28 Jan - 02 Feb 2014.

MOSHI MJINI
Uwanja wa mashujaa
Kuanzia saa 9 alasiri hadi saa 12 jioni.

Semina:
Watu wote
 
 
 


01 Feb 2014.

MOSHI MJINI:
Uwanja wa Mashujaa
Kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 6 mchana.

Semina: Vijana wote na wanavyuo wote.
 

Endelea   >>>

Ibariki Israeli Pamoja Nasi

Habari za Huduma

Mafundisho ya neno la Mungu

Sasa unaweza kutembelea taifa la Israeli kwa mafunzo ya kiroho pamoja nasi mara nne kwa mwaka. Kufahamu zaidi kuhusu huduma ya Israeli,
Bonyeza Hapa.
Karibu ufuatilie habari ,matukio na mabadiliko mbalimbali  yanayohusu huduma ya MANA pamoja na watendajikazi katika huduma.
Bonyeza Hapa kwa maelezo zaidi
Karibu ujisomee mafundisho ya Neno la Mungu katika tovuti hii sasa.
Bonyeza hapa
 
|Home|  |Kuhusu MANA|    |Nunua|      |Mafundisho|     |Maombi|     |Ratiba|   |Shuhuda|   |Barua Za Mwezi|   |Israel| Picha

Haki zote zimehifadhiwa Huduma Ya MANA TANZANIA.