HUDUMA ZA MANA

Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote.

Fahamu zaidi...
 
 


    Vipindi vya Redio

Ili kulileta Neno la Mungu karibu na wewe zaidi, Huduma ya Mana inaandaa na kurusha baadhi ya mafundisho ya Neno la Mungu kwa njia ya redio kadhaa hapa nchini Tanzania.

Ili kufahamu zaidi redio hizo na siku na saa ya vipindi vyetu, bonyeza hapa.

    USHUHUDA SEMINA YA DAR ES SALAAM JUMANNE  (26/2/2013) KWA NJIA YA MESEJI YA SIMU.
     Watumishi Bwana Yesu apewe sifa, Kwani amenitendea miujiza Semina ya mwaka jana. Niliomba Mungu amguse mume wangu aokoke, Mungu amejibu na mume wangu ameokoka tayai.
Namshukuru Mungu sana.
 
USHUHUDA SEMINA YA DAR KWA MESEJI YA SIMU TAR 28/02/2013.

Mtumishi Bwana Yesu asifiwe. Namshukuru Mungu nilikuwa naumwa na visigino mpaka nashindwa kusimama. Jana ulikuwa unaomba ukasema kuna mtu analia rohoni, nikashika redio nikapona na mpaka sasa natembea kawaida.

Mitandao ya Kijamii
 
 
USHUHUDA SEMINA YA DAR ES SALAAM KWA NJIA YA MESEJI YA SIMU TAR 28/02/2013.
   Ninamshukuru Mungu. Nilituma maombi siku ya jumatatu na jumatano kwa njia ya sms kuwa nilifanyiwa operesheni ya apendix, na kidonda kikawa na wiki mbili kinavuja usaha na mafuta. Namshukuru Mungu baada ya maombi kupitia radio Wapo, mshono wa operesheni umekauka na jumapili nitarudi chuoni kuendelea na masomo yangu. Amina.
 

Ibariki Israeli Pamoja Nasi

Habari za Huduma

Mafundisho ya neno la Mungu

 
Sasa unaweza kutembelea taifa la Israeli kwa mafunzo ya kiroho pamoja nasi mara nne kwa mwaka. Kufahamu zaidi kuhusu huduma ya Israeli,
Bonyeza Hapa.
Karibu ufuatilie habari ,matukio na mabadiliko mbalimbali  yanayohusu huduma ya MANA pamoja na watendajikazi katika huduma.
Bonyeza Hapa kwa maelezo zaidi
Karibu ujisomee mafundisho ya Neno la Mungu katika tovuti hii sasa.
Bonyeza hapa
 
 
|Home|  |Kuhusu MANA|    |Nunua|      |Mafundisho|     |Maombi|     |Ratiba|   |Shuhuda|   |Barua Za Mwezi|   |Israel| Picha

Haki zote zimehifadhiwa Huduma Ya MANA TANZANIA.