Tazama Redio iliyo karibu na wewe
Redio moja kwa wastani hufikia mikoa mitatu mpaka mikoa minne. Tuna mshukuru Mungu kwa Neema yake inayotuwezesha kufikia watanzania wengi.
| Mkoa | Redio | Siku | Muda |
|---|---|---|---|
| Kilimanjaro | Sauti ya Injili | Jumamosi na Jumapili | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
| Kicheko FM | Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi na Ijumaa | Saa tatu kamili hadi saa nne kamili usiku | |
| Dar es Salaam | Upendo redio | Jumamosi na Jumapili | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
| Iringa | Redio Furaha | Jumamosi | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
| Jumapili | Saa saba na nusu mchana mpaka saa nane na nusu mchana | ||
| Mbeya | Rungwe FM | Jumamosi | Saa kumi na mbili mpaka saa moja asubuhi |
| Jumapili | Saa kumi na mbili mpaka saa moja asubuhi | ||
| Shinyanga | Faraja FM | Jumamosi na Jumapili | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
| Divine FM | Jumatatu | Saa tatu mpaka saa nne usiku | |
| Jumanne | Saa tatu mpaka saa nne usiku | ||
| Kicheko FM | Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi na Ijumaa | Saa tatu kamili hadi saa nne kamili usiku | |
| Tabora | CF FM | Ijumaa | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
| Dodoma | Radio Uzima | Jumamosi na Jumapili | Saa Mbili na nusu mpaka tatu na nusu usiku |
| Manyara | Kicheko FM | Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi na Ijumaa | Saa tatu kamili hadi saa nne kamili usiku |
| Mwanza | Kicheko FM | Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi na Ijumaa | Saa tatu kamili hadi saa nne kamili usiku |
| Tanga | Kicheko FM | Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi na Ijumaa | Saa tatu kamili hadi saa nne kamili usiku. |
"Ungana nasi katika kumshukuru Mungu, na kumtukuza katika jina la Yesu Kristo, kwa jinsi ambavyo anawahudumia watu wake."
Mana 2022
