huduma

HUDUMA YA MANA

Karibu katika tovuti rasmi ya huduma ya MANA, hii ni huduma ya neno la Mungu, inayoongozwa na neno kutoka katika kitabu cha Yohana 21:17 “Yesu akamwambia,”Lisha kondoo zangu“. Makao makuu ya huduma hii ni Arusha Tanzania. Nifuraha na baraka kuwa na wewe katika tovuti hii, karibu tujifunze pamoja

Mwakasege

SEMINA

Tunamshukuru Yesu Kristo kwa Neema yake inayotuwezesha kupata Neno la wakati katika majira na nyakati zinazogusa maisha yetu.

Israel flag with a view of old city Jerusalem and the KOTEL- Western wall

ISRAEL PAMOJA NASI

Mwaka 2007 mwezi wa Desemba, tukiwa nchini Israel, Mungu alisema nasi juu ya kuwahimiza watu wake wajiunganishe na nchi ya Israel Kibiblia.

studio-g21a831547_640

RADIO & TV

Sasa unaweza kusikiliza mafundisho kila siku ya Jumatano, Jumamosi na Jumapili kuanzia saa tatu usiku hadi saa nne kamili usiku

Mwakasege

UJUMBE WA MWALIMU

Fuatilia ujumbe maalumu kutoka kwa Mwalimu, ili upate neno la Mungu na msingi wa kukuongoza katika maombi kwa mwezi husika

MWAKA 2024 KATIKA RAMANI

Semina za neno la Mungu, makongamano ya maombi na matukio yanayoyofanywa na huduma ya Mana kwa mwaka 2024. Sifa na utukufu kwa Mungu wetu wa pekee anayejidhihirisha katika Yesu Kristo na kutuhudumia kupitia Roho Mtakatifu. Endelea kutuombea kwa ajili ya mwaka 2025

huduma
"NDANI YA MJI WA DODOMA, MUNGU AMETUPA NEEMA YA KUJENGA UKUMBI WA MAOMBI YA KITAIFA, TENGA MUDA WA KUOMBA NA KUTOA SADAKA YAKO ILI KUFANIKISHA MAONO HAYA.
"

Hiki si kipindi cha kuishiwa nguvu za maombi
kongamano

KONGAMANO LA MAOMBI

Kila mara tunapokua na makongamano ya Maombi, tumekuwa tukiimarishwa uhusiano wetu na Mungu katika Yesu Kristo.

KU2A0862

KONGAMANO LA TAIFA

Congregation with their pastors at a revival.

MAKONGAMANO YA KANDA

Mwakasege

MAKONGAMANO YA MIKOA

Sekta

MAKONGAMANO YA SEKTA

Kongamano Nje ya nchi

MAKONGAMANO YA NJE YA NCHI

kongamano
shuhuda

SHUHUDA

Tunamshukuru Mungu kwa namna ambavyo amekuwa akijihidhirisha kwetu.
Sifa na utukufu ni Kwa Mungu.

SAA YA WOKOVU NI SASA

Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.

shuhuda

TUNGEPENDA KUSIKIA KUTOKA KWAKO

Karibuuwasiliane nasi kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu huduma ya MANA.