KONGAMANO LA TAIFA LA MAOMBI-2023

Maono ya Kongamano la Maombi ni

“Kuona Jamii ya Kitanzania Iliyojengwa kwenye misingi na mifumo ya ufalme wa Mbinguni kwa njia ya maombi”

Ni furaha kuwa nawe mahali hapa,Mungu wetu akubariki.Maono ya kongamano la maombi katika huduma hii ya huduma ya Mana ni “Kuwa na jamii ya kitanzania iliyojengwa kwenye misingi na mifumo ya ufalme wa mbinguni kwa njia ya maombi”

C Christopher na Diana Mwakasege

team

Wanenaji katika Kongamano

Wafuatao ni wanenaji katika kongamano la mombi 2023

Mwakasege

Christopher na Diana Mwakasege

Mwalimu

Bishop Shonga

Boniface Shonga

Askofu.

team
pricing

UJENZI WA KITUO CHA MAOMBI

Tuna Mshukuru Mungu, kwa kutupa Neema ya kujenga ukumbi wa maombi ya kitaifa. Endelea kutuombea na endelea kumtolea Mungu sadaka. Mungu wetu akubariki.

pricing

TUNGEPENDA KUSIKIA KUTOKA KWAKO

Karibuuwasiliane nasi kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu huduma ya MANA.