VITABU NA DVD

Agiza Vitabu na DVD za masomo na semina mbalimbali kutoka huduma ya MANA.

MSIMU MPYA

Ni maombi yetu ya Kwamba Yesu Kristo ajibu haja ya moyo wako pindi unaposoma vitabu na kusikiliza mafundisho katika DVDs kutoka katika huduma ya Mana. Tuendelea kumuomba Mungu yeye ni mwaminifu daima, milele na milele.

Mwalimu Christopher na Diana Mwakasege

TUNGEPENDA KUSIKIA KUTOKA KWAKO

Karibuuwasiliane nasi kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu huduma ya MANA.