MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU

Tunamshukuru Yesu Kristo kwa Neema yake inayotuwezesha kupata Neno la wakati katika majira na nyakati zinazogusa maisha yetu.

Una Ushuhuda?

Tunamshukuru Mungu kwa namna ambavyo amekuwa akijihidhirisha kwetu.
Sifa na utukufu ni Kwa Mungu

Ushuhuda-1

2021

Amen , Mungu ni mwema nataman kila siku nisikilize neno kutoka madhabau ya Mana , Mungu azidi kukulinda Mwalimu wetu umewasaidia watu wengi sana kulipenda Neno na hata kumpenda kristo

Peter Kimaro
Peter Kimaro

Arusha

Ushuhuda-2

2021

“semina zako huwa zinanibariki sana.Mungu amewahi kutenda jambo kubwa kwangu kupitia semina yako Arusha.Naomba na sasa atende.Amen”

Lilian Emmanuel
Lilian Emmanuel

Arusha

Ushuhuda-1

2021

Amen , Mungu ni mwema nataman kila siku nisikilize neno kutoka madhabau ya Mana , Mungu azidi kukulinda Mwalimu wetu umewasaidia watu wengi sana kulipenda Neno na hata kumpenda kristo

Peter Kimaro
Peter Kimaro

Arusha

TUNGEPENDA KUSIKIA KUTOKA KWAKO

Karibuuwasiliane nasi kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu huduma ya MANA.