Karibu

SEMINA MUBASHARA / MARUDIO

Katika ukurasa huu utaweza kufuatilia semina mubashara / marudio. Ni furaha kuwa nawe mahali hapa, Mungu wetu akubariki. Maono ya semina za huduma ya Mana ni “Kuwa na jamii ya kitanzania iliyojengwa kwenye misingi na mifumo ya ufalme wa mbinguni kwa njia ya mafundisho”

"Semina inapo endelea unaweza kutoa sadaka yako kwa Kadiri Roho wa Mungu atakavyo kuongoza"

tz-crdb-logo-200x200

CRDB ACCOUNT

01J2032214400

M-Pesa

M-PESA

0754211633,

Airtel (1)

AIRTEL MONEY

0682657080

TIGO PESA

TIGO-PESA

0715511633

RATIBA YA SEMINA ZINAZOFUATA

Unga nasi katika kuomba juu ya maandalizi ya semina zinazofuata katika mikoa ya;

MBEYA

11 Mpaka 15 October, 2023

IRINGA

18 Mpaka 22 October, 2023

WASILIANA NASI

Karibu kuwasiliana nasi kuhusu vitabu na DVDs.

TUFUATILIE