Karibu
SEMINA MUBASHARA
Katika ukurasa huu utaweza kufuatilia semina mubashara. Ni furaha kuwa nawe mahali hapa,Mungu wetu akubariki.Maono ya semina za huduma ya Mana ni “Kuwa na jamii ya kitanzania iliyojengwa kwenye misingi na mifumo ya ufalme wa mbinguni kwa njia ya mafundisho”

CRDB ACCOUNT
01J2032214400

M-PESA
0754211633,

AIRTEL MONEY
0682657080

TIGO-PESA
0715511633
RATIBA YA SEMINA ZINAZOFUATA
Ungana nasi katika kuomba juu ya maandalizi ya semina zinazofuata katika mikoa ya;
SEMINA - KAHAMA
20 Mpaka 24 May, 2026
SEMINA - TANGA
O3 Mpaka 07 Juni, 2026
WASILIANA NASI
Karibu kuwasiliana nasi kuhusu vitabu na DVDs.
- +255 736 501 081
- info@mwakasege.org
