Karibu
SEMINA MUBASHARA
Katika ukurasa huu utaweza kufuatilia semina mubashara. Ni furaha kuwa nawe mahali hapa, Mungu wetu akubariki. Maono ya semina za huduma ya Mana ni “Kuwa na jamii ya kitanzania iliyojengwa kwenye misingi na mifumo ya ufalme wa mbinguni kwa njia ya mafundisho”

CRDB ACCOUNT
01J2032214400

M-PESA
0754211633,

AIRTEL MONEY
0682657080

TIGO-PESA
0715511633
RATIBA YA SEMINA ZINAZOFUATA
Unga nasi katika kuomba juu ya maandalizi ya semina zinazofuata katika mikoa ya;
Mwanza
28 Septemba- 2 Oktoba 2022
Njombe
20-23 Oktoba 2022
Dar es Salaam
12-16 Oktoba 2022
Mbeya
26-30 Oktoba 2022
WASILIANA NASI
Karibu kuwasiliana nasi kuhusu vitabu na DVDs.
- +255 736 501 081
- [email protected]