Karibu

SEMINA MUBASHARA

Katika ukurasa huu utaweza kufuatilia semina mubashara. Ni furaha kuwa nawe mahali hapa,Mungu wetu akubariki.

"Semina inapo endelea unaweza kutoa sadaka yako,kutuma maombi au kutoa shuhuda kwa Kadiri Roho wa Mungu atakavyo kuongoza"

RATIBA YA SEMINA ZINAZOFUATA

Unga nasi katika kuomba juu ya maandalizi ya semina zinazofuata katika mikoa ya;

Dar es Salaam

May 2022

Mbeya

July 2022

Iringa

July 2022

Kagera

August 2022

WASILIANA NASI

Karibukuwasiliana nasi kuhusu vitabu na DVDs.

TUFUATILIE