about

MANA mkononi Mwako

Tunafuraha kukujulisha ya kwamba tuna unda application ya simu, ambayo itakuwezesha wewe kuweza kupata mafundisho yetu yote tangu tulipo anza huduma mpaka leo hii. Kupitia application hii utaweza kusoma vitabu, kusikiliza audio na kutaza video.

Application hii itapatikana mahali popote pale duaniani.

about
services

PATA MAFUNDISHO MAHALI POPOTE,MUDA WOWOTE

Mkusanyiko wa mafundisho tangu mwaka 1985

Video

Zaidi ya video 1,500

Soma zaidi

Audio

Zaidi ya audio 2,000

Soma zaidi
Vitabu

Vitabu

Zaidi ya vitabu 100

Learn More
services
pricing

CHAGUA KIFURUSHI CHAKO LEO

Chagua kifurushi kinacho endana na mahitaji yako,familia yako au taasisi yako

Binafsi

Maalum kwa ajili ya watu wawili
Tshs2,500 Kila Mwezi
  • 500+ Video
  • 700+ Audio
  • 40+ Vitabu
  • Usajili Kongamano la maombi

Taasisi

Watu 16 mpaka 25
Tshs15,000 Kila Mwezi
  • 1,500+ Video
  • 1,900+ Audio
  • 90+ Vitabu
  • Usajili Kongamano la maombi
pricing

TUNGEPENDA KUSIKIA KUTOKA KWAKO

Karibuuwasiliane nasi kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu huduma ya MANA.