Tazama Redio iliyo karibu na wewe
Redio moja kwa wastani hufikia mikoa mitatu mpaka mikoa minne. Tuna mshukuru Mungu kwa Neema yake inayotuwezesha kufikia watanzania wengi.
Mkoa | Redio | Siku | Muda |
---|---|---|---|
Kilimanjaro | Sauti ya Injili | Jumamosi na Jumapili | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
Kicheko FM | Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi na Ijumaa | Saa tatu kamili hadi saa nne kamili usiku | |
Dar es Salaam | Upendo redio | Jumamosi na Jumapili | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
Iringa | Redio Furaha | Jumamosi | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
Jumapili | Saa saba na nusu mchana mpaka saa nane na nusu mchana | ||
Mbeya | Rungwe FM | Jumamosi | Saa kumi na mbili mpaka saa moja asubuhi |
Jumapili | Saa kumi na mbili mpaka saa moja asubuhi | ||
Shinyanga | Faraja FM | Jumamosi na Jumapili | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
Divine FM | Jumatatu | Saa tatu mpaka saa nne usiku | |
Jumanne | Saa tatu mpaka saa nne usiku | ||
Kicheko FM | Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi na Ijumaa | Saa tatu kamili hadi saa nne kamili usiku | |
Tabora | CF FM | Ijumaa | Saa tatu mpaka saa nne usiku |
Dodoma | Radio Uzima | Jumamosi na Jumapili | Saa Mbili na nusu mpaka tatu na nusu usiku |
Manyara | Kicheko FM | Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi na Ijumaa | Saa tatu kamili hadi saa nne kamili usiku |
Mwanza | Kicheko FM | Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi na Ijumaa | Saa tatu kamili hadi saa nne kamili usiku |
Tanga | Kicheko FM | Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi na Ijumaa | Saa tatu kamili hadi saa nne kamili usiku. |
"Ungana nasi katika kumshukuru Mungu, na kumtukuza katika jina la Yesu Kristo, kwa jinsi ambavyo anawahudumia watu wake."
Mana 2022